Yondani, Abdul kuagwa kwa heshima wiki ya Mwananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Aug 2020
Yondani, Abdul kuagwa kwa heshima wiki ya Mwananchi

Baada ya kutangaza kuwaacha wakongwe Kelvin Yondani na Juma Abdul, wachezaji hao watapewa heshima ya kuagwa kwenye tukio la kilele cha wiki ya Mwananchi ambalo litafanyika baadae mwezi huu

Yondani na Abdul walikuwa wachezaji waandamizi zaidi kwenye kikosi cha Yanga, wakiwa sehemu ya timu katika kipindi cha zaidi ya misimu mitano mfululizo

Yondani alita Yanga mwaka 2012 akitokea klabu ya Simba wakati Abdul alitua mwaka mmoja baadae akitokea Mtibwa Sugar

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli alisema Yanga inathamini mchango wao hivyo watapewa nafasi ya kuwaaga mashabiki kama walivyofanya kwa mkongwe Nadir Haroub 'Cannavaro' alipostaafu misimu miwili nyuma

Yanga ilikuwa na nia ya kuwaongezea mikataba hata hivyo mazungumzo ya mkataba mipya yalikwama baada ya wachezaji hao kugomea ofa waliyopewa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’