Yanga yawashukuru mashabiki kwa uungwaji mkono

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Aug 2020
Yanga yawashukuru mashabiki kwa uungwaji mkono

Uongozi wa klabu ya Yanga umewashukuru mashabiki wake kwa kuendelea kuwaunga mkono katika vipindi vyote

Aidha, Yanga imewahakikishia mashabiki kuwa msimu ujao utakuwa wa kwao kupata furaha

"Tunawashukuru mashabiki wetu wa kweli kwakuwa nasi msimu uliopita. Jiandaeni kufurahia msimu ujao," ilisema sehemu ya taarifa ya Yanga

Mabingwa hao wa kihistoria wanaendelea na michakato ya kukiimarisha kikosi pamoja na kuhakikisha wanaweka sawa mazingira ya nje ya uwanja ili timu ijiimarishe kiuchumi

Yanga imetangazwa awamu ya kwanza ya mchakato wa Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo itakamilika August 30 tayari kwa hatu ya Wanachama kupitisha Mabadiliko hayo

Lakini pia Yanga inaendelea na maandalizi ya wiki ya Mwananchi ambayo uzinduzi wake utafanyika wiki ijayo August 15 kule mkoani Dodoma

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’