Shamrashamra za wiki ya Mwananchi zitazinduliwa kule mkoani Dodoma Jumamosi ya August 15 2020
Taarifa iliyotolewa na Yanga imebainisha kuwa tukio hilo la uzinduzi wa msimu wa pili wa wiki ya Mwananchi, litafanyika Makao Makuu ya nchi
Kama ilivyoada, Wanayanga watashiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii, lakini pia, elimu kuhusu Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji itatolewa
Aidha, siku hiyo pia kutakuwa na Tamasha kubwa la Wanawake
ADVERTISE HERE