Huyu Morrison lazima anyooshwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2020
Huyu Morrison lazima anyooshwe

Pamoja na vibweka vingi anavyofanya, uongozi wa Yanga umemjumuisha winga Bernard Morrison katika kikosi cha nyota 17 waliobaki

Inaelezwa nyota huyo aliibua mvutano miongoni mwa wajumbe lakini uamuzi ukafikiwa lazima abaki

Morrison ana mgogoro na Yanga akiukana mkataba mpya aliosaini

Yanga imesisitiza kuwa na mkataba halali nae,  ikitangaza kuwa tayari kumuuza kwa timu yoyote itakayomuhitaji

Mghana huyo anaweza kujikuta akibaki 'juu ya mawe' kama ataendelea kufanya ukaidi

Kwani Yanga haionekani kuwa na mpango wa kumuachia kirahisi rahisi

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
9h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
13h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
14h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
14h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’