TFF yamfungia Eymael miaka miwili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2020
TFF yamfungia Eymael miaka miwili

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo imetangaza kumfungia miaka miwili aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga Luc Eymael kutokana na makosa ya uchochezi na ubaguzi

Kamati hiyo pia imemtoza Eymael faini ya Tsh Milioni 8 kutokana na makosa hayo

Eymael tayari ameondoka nchini baada ya kufutwa kazi na Yanga kufuatia matamshi yake yaliyobua sintofahamu baada ya mchezo wa mwisho wa kukamilisha msimu mkoani Iringa

Mbelgiji huyo aliwakilishwa na Mawakili wake kwenye shauri hilo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’