Azam Fc yamtambulisha Ally Niyonzima

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Aug 2020
Azam Fc yamtambulisha Ally Niyonzima

Klabu ya Azam Fc imetangaza kumsajili kiungo wa Rayon Sports Ali Niyonzima wakimpa mkataba wa miaka miwili

Tetesi za mwanzo zilimuhusisha kiungo huyo kutakiwa na Yanga, alikuja nchini mara ya kwanza, akafanya mazungumzo na mabingwa hao wa kihistoria

Hata hivyo Yanga iliamua kuachana nae baada ya kutokubaliana nae kwenye dau la usajili

Baadae alirejea kwao Rwanda kisha Azam Fc kuanza nae mazungumzo na kumleta nchini hapo jana, leo wametangaza kumsajili

Β 

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’