Wiki ya maangamizi, majembe yote kuwekwa hadharani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Aug 2020
Wiki ya maangamizi, majembe yote kuwekwa hadharani

Baada ya dirisha la usajili kufunguliwa leo, Wanayanga wakae mkao wa kula kwani michakato ya usajili itaanza kuwekwa hadharani

Inaelezwa kuanzia siku ya leo August Mosi mpaka August 14, michakato yote ya usajili itakamilishwa ili wakati timu inaingia kambini hesabu za usajili ziwe zimefungwa

Lakini pia, dirisha la usajili la msimu huu litadumu kwa takribani siku 30 tu kutokana na kuvurugika mipango ya msimu uliopita chanzo kikiwa janga la corona

Hivyo hakutakuwa na muda mrefu wa 'kuremba' usajili kama ilivyokuwa misimu mingine

Jana Yanga ilimtambulisha Zawadi Mauya, lakini inaelezwa kuna wachezaji wengine walisinya pia, wanasubiri kutambulishwa tu

Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu usajili wa Yanga, huu ndio wakati mambo yote yanakuwa hadharani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’