Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kufungua dirisha la usajili kuanzia leo Jumamosi, August Mosi, 2020
Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF, dirisha hilo litakuwa wazi kwa muda wa mwezi mmoja tu, likitarajiwa kufungwa August 31 2020

ADVERTISE HERE