Inaelezwa uongozi wa Yanga umekamilisha taratibu zote za kumsajili mlinzi wa Coastal Union na timu ya taifa, Bakari Nondo Mwamnyeto
Taarifa kutoka viunga vya Jangwani, imebainisha kuwa Mwamnyeto anatarajiwa kumwaga wino leo na pengine anaweza kuwa usajili wa kwanza kutangazwa na mabingwa hao wa kihistoria
Kwa miezi kadhaa, Mwamnyeto amekuwa akihusishwa na vilabu vya Yanga na Simba, lakini sasa sintofahamu kuhusu hatma yake inakwenda kufika ukingoni
Tusubiri..
ADVERTISE HERE