Chanongo atajwa kumrithi Msuva Yanga

Admin By Admin
β€’
1 Jul 2017
Chanongo atajwa kumrithi Msuva Yanga
Baada ya kuwepo kwa uwezakano wa winga Simon Msuva kutimkia Morocco katika klabu ya Difaa El Jadida, Yanga inasaka mbadala wake.

Taarifa za uhakika ni kuwa Yanga imefanya mazungumzo na winga wa Mtibwa Haruna Chanongo.

Yanga imevutiwa na Chanongo (25) aliyewahi kun'gara na Simba kwa kuwa aina ya uchezaji wake haitofautiani sana na Msuva.

Ana kasi, maarifa na muhimu zaidi Chanongo anaweza kutumia miguu yote na anamudu nafasi zote za ushambuliaji.

Kocha wa Yanga George Lwandamina hupenda wachezaji wanaoweza kucheza zaidi ya namba moja.

Uongozi wa Yanga umesema hautarajii kuwa na pengo hata kama Msuva akiondoka kwani licha ya kumuwania Chanongo, yupo winga Juma Mahadhi ambaye anamudu vyema nafasi zote za ushambuliaji wa pembeni.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
2d ago
READ MORE β†’