Yikpe akana kutaka Milioni 20 avunje mkataba Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jul 2020
Yikpe akana kutaka Milioni 20 avunje mkataba Yanga

Mshambuliaji wa Yanga Yikpe Gnamien amezikana taarifa zilizoripotiwa na baadhi ya magazeti na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa ameomba kitita cha Tsh Milioni 20 avunje mkataba na mabingwa hao wa kihistoria

Yikpe aliyetua Yanga usajili wa dirisha dogo, amesema hakuwahi kuzungumza jambo kama hilo mahali popote

"Sikuzungumza maneno hayo, ni vyema waandishi wa habari wakawa na uhakika wa taarifa wanazotoa," alisema

Yikpe alisaini mkataba wa miaka miwili hivyo bado ana takribani mwaka mmoja na nusu katika mkataba wake uliobaki

Pamoja na tetesi za kuachwa kuwa nyingi, uongozi wa Yanga utalazimika kumlipa sehemu ya mkataba wake kama wataamua kumuacha katika usajili wa dirisha kubwa ambalo linafunguliwa siku ya Jumamosi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’