Huyu Morrison anakwama wapi?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jul 2020
Huyu Morrison anakwama wapi?

Winga wa Yanga Bernard Morrison ameendelea kuonekana kwenye viwanja vya mchangani akitumika na timu mbalimbali 'za kitaa' wakati hatma yake ikiwa gizani

Inaelezwa nyota huyo raia wa Ghana amekuwa akitumika kwenye mechi hizo kwa ujira mdogo tu wa kati ya Tsh 50,000/- na 100,000/-

Ni jambo linalowashangaza wadau wengi hasa ikizingatiwa mchezaji huyo ametoka Ghana kuja nchini kucheza soka la kulipwa lakini sasa ameishia mchangani

Klabu ya Yanga imesisitiza kuwa nae mkataba wa miaka miwili na hivi karibuni walitangaza kumkata sehemu ya mshahara wake baada ya kutoonekana bila ya taarifa katika kituo chake cha kazi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’