Kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Msimu wa 2019-20 kwa kikosi cha Yanga iliyotolewa na wadhamini, kampuni ya Sportpesa
Fei Toto amejinyakulia kitita cha Tsh Milioni Moja akiwa amepigiwa kura nyingi zaidi miongoni mwa wachezaji wote wa Yanga
"Sina Budi kumshukuru mwenyezimungu na pia Sina budi kuwashukuru wanayanga wote kwakunipigia kura na pia nawashukuru sana viongozi wangu wa Yanga nawapenda sana mashabiki wa Yanga asanten sana mashabiki wangu nawapenda sana," ujumbe wa Fei Toto baada ya kutangazwa ameshinda tuzo hiyo
ADVERTISE HERE