Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kumfuta kazi kocha mkuu Luc Eymael kufuatia kauli za dharau, ubaguzi na uchochezi alizotoa jana baada ya mchezo wa kumaliza msimu dhidi ya Lipuli Fc
Taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo, imebainisha kuwa Eymael amefutwa kazi kuanzia leo na jitihada zinafanyika ili kuhakikisha anaondoka nchini haraka iwezekanavyo
Yanga imewaomba radhi wanafamilia wote wa soka nchini kutokana na kauli hizo zilizotolewa na Eymael

ADVERTISE HERE