Yanga kuivaa Lipuli Fc bila ya mastaa kibao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jul 2020
Yanga kuivaa Lipuli Fc bila ya mastaa kibao

Yanga inakamilisha hesabu za msimu wa ligi kuu 2019-20 bila ya kuwa na nyota wake kibao wa kikosi cha kwanza ambao ni majeruhi na wengine wakikabiliwa na changamoto binafsi

Beki kisiki Lamine Moro alipata majeraha kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, anaweza kukosekana kwenye kikosi cha Yanga leo

Mkongwe Kelvin Yondani na Patrick Sibomana wao hawakusafiri na timu kutokana na matatizo ya kifamilia

Kiraka Deus Kaseke alipata kadi nyekundu kwenye mchezo uliopita hivyo hatakuwepo dimbani leo

Nyota wengine ambao ni majeruhi ni Haruna Niyonzima, Papy Tshishimbi na Mapinduzi Balama

Kocha Luc Eymael atakuwa na kazi ya kusaka matokeo ya ushindi bila ya uwepo wa nyota hao

Kwani Yanga inahitaji ushindi leo huku ikiomba Azam Fc isipate matokeo mazuri dhidi ya Tanzania Prisons ili waweze kumaliza nafasi ya pili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
4h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
9h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’