Mabingwa kihistoria Tanzania, Yanga wamewasili salama mkoani Iringa na moja kwa moja jioni wakaanza mazoezi kujiandaa na mchezo wa kukamilisha msimu dhidi ya Lipuli Fc
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili kwenye uwanja wa Samora
Yanga imefanya mazoezi yake ya kwanza mkoani Iringa leo katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Mkwawa
Kesho Yanga itakamilisha maandalizi yake kwa kujifua kwenye uwanja wa Samora ambao utatumika Jumapili
ADVERTISE HERE