Wachezaji wa Yanga leo walipata wasaa wa kupumzisha miili yao mkoani Morogoro kabla ya safari ya Iringa kumalizia msimu
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Yanga, mabingwa hao wa kihistoria wataondoka kesho Ijumaa kuelekea Iringa


ADVERTISE HERE