Yanga yaendelea kujifua uwanja wa Uhuru

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Nov 2017
Yanga yaendelea kujifua uwanja wa Uhuru
Yanga imeendelea kujifua leo kwenye uwanja wa Uhuru tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 10 dhidi ya Mbeya City keshokutwa Jumapili, Novemba 19.



Ngoma, Kamusoko wanaendelea kukosekana kwenye kikosi cha kwanza kutokana na majeruhi yanayowasumbua.

Licha ya kufika mazoezi, Thabani Kamusoko ameshindwa kufanya mazoezi na wenzie huku Amissi Tambwe akiendelea na program binafsi itakayomuwezesha kurejea dimbani bila madhara.



Bila shaka Yanga itaivaa Mbeya City bila ya wachezaji hao.



ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
4h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’