Msafara wa mashabiki wa Yanga kutoka jijini Dar es salaam wamepata ajali kwa basi lao kuanguka wakati wakielekea mkoani Morogoro kushuhudia mchezo wa ligi kuu kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga
Japo la kushukuru hakuna vifo, taarifa za awali zimebainisha kuwa majeruhi wote wanaendelea vizuri
Poleni Wananchi mliokumbwa na mkasa huo

ADVERTISE HERE