Uongozi wa klabu ya Yanga umekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo Dk Mshindo Msolla amejiuzulu nafasi yake
Taarifa iliyotolewa na Yanga imebainisha kuwa taarifa hiyo ni uzushi na kuwa Dk Msolla anaendelea na majukumu yake sambamba na viongozi wengine wa klabu hiyo

ADVERTISE HERE