Maandalizi kabla ya kuifuata Mtibwa Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jul 2020
Maandalizi kabla ya kuifuata Mtibwa Sugar

Kikosi cha Yanga leo kimekamilisha maandalizi tayari kwa safari ya kuelekea mkoani Morogoro wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatano, Julai 22 kwenye uwanja wa CCM Gairo

Yanga ikiwa na hesabu za kumaliza katika nafasi ya pili, itahitaji kushinda mchezo huo. Hata hivyo itakabiliana na upinzani mkali kutoka kwa Mtibwa ambao wako karibu na shimo la kuteremka daraja

Shikhalo arejea

Katika hatua nyingine, mlinda lango Faroukh Shikhalo amerejea kikosini baada ya kupona majeraha yaliyomuacha nje kwenye mchezo uliopita dhidi ya Mwadui Fc

Shikhalo aliumia mazoezi wakati wa maandalizi ya mchezo huo ambao uliishuhudia Yanga ilkilazimishwa sare ya bao 1-1

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’