Bosi Kamati ya Ufundi awatuliza mashabiki Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jul 2020
Bosi Kamati ya Ufundi awatuliza mashabiki Yanga

Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki wake kuwa na amani kuhusu maboresho ya kikosi kwani wamefanyika kazi mapendekezo yote yaliyotolewa na benchi la Ufundi

Mwishoni mwa wiki Kamati ya Ufundi ya klabu ya Yanga inayoongozwa na Mwenyekiti Dmominic Albinus, ilikutana kufanya tathmini ya msimu unaomalizika na kisha kuwasilisha mapendekezo mbalimbali kuhusu maboresho ya timu zote za Yanga kuanzia Vijana, Wanawake na kikosi cha kwanza kuelekea msimu ujao mbele ya Kamati ya Utendaji ya Yanga

Albinus amewahakikishia Wanayanga kuwa wasiwe na wasiwasi kwani wamezingatia mapendekezo yote yaliyotolewa na benchi la ufundi kuhusu usajili wa timu hiyo

Inaelezwa tayari mabingwa hao wa kihistoria wameshawanasa nyota wengi waliokuwa wakiwahitaji kinachosubiriwa ni muda mwafaka wa kuwatangaza nyota hao pale dirisha la usajili litakapofunguliwa August Mosi

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’