Nchimbi atafika mbali - Chaima

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jul 2020
Nchimbi atafika mbali - Chaima

Mlinda lango wa Singida United Owem Chaima ameeleza kumkubali mshambuliaji wa Yanga Ditram Nchimbi akiamini juhudi zake zitampa mafanikio siku moja

Tukio la Chaima kumuomba Nchimbi viatu baada ya mchezo kati ya Yanga dhidi ya Singida United uliopigwa mapema wiki hii, limekuwa maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii

"Ni tukio la kuonyesha upendo tu. Nchimbi ni mchezaji ninayemkubali, anajituma sana, namuomba kheri siku moja atafanikiwa kwani uwezo wake ni mkubwa," alisema chaima

Katika mchezo huo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-1, Nchimbi aliingia mwishoni mwa kipindi cha kwanza akichukua nafasi ya Raphael Daudi Lothi

Nchimbi anatarajiwa kuiongoza safu ya ushambuliaji ya Yanga leo kwenye mchezo dhidi ya Mwadui FC

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
59m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’