Yanga yamuweka sokoni Morrison

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jul 2020
Yanga yamuweka sokoni Morrison

Mshambuliaji Benard Morrison anauzwa, timu inayomuhitaji imetakiwa kuwasiliana na Yanga, imeelezwa

Wadhamini wa klabu ya Yanga GSM ambao ndio waliofanikisha usajili wake, wameridhia nyota huyo kuwekwa sokoni huku wakisisitiza hajawahi kutokea mchezaji mkubwa kuliko Yanga

"Yanga tunasimamia misingi, kama kuna timu inamtaka Bernard Morrison ije mezani kuongea na sisi, tupo tayari kumuuza kwani hakuna mchezaji mkubwa kuliko klabu," amesema Eng Hersi

Mwenyewe akomaa, adai hana mkataba

Wakati Yanga ikitangaza kumuweka sokoni, Morrison mwenyewe amedai kuwa anamaliza mkataba wake na Yanga leo, hivyo kuanzia kesho atakuwa mchezaji huru!

Yanga ilishatoa ufafanuzi kuhusu madai ya mchezaji huyo na hata kwenye kesi yake aliyokuwa amewasilisha TFF alishindwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’