Feisal Salum 'Fei Toto'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jul 2020
Feisal Salum 'Fei Toto'

Heko nyingi anastahili kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' ambaye kwa kiasi kikubwa jana alifanya kazi ya ziada kwenye mchezo dhidi ya Simba licha ya kufungwa mabao 4-1

Fei Toto alikuwa 'yatima' pale katikati ya dimba. Alifanya kazi kubwa ya kupambana na viungo wa Simba waliokuwa wametawala sehemu ya kiungo

Kwa muda mwingi, fundi Haruna Niyonzima na nahodha Papy Tshishimbi hawakuwa na mchezo mzuri pengine ni kutokana na majeraha waliyopata zadi Tshishimbi akirejeshwa dimbani kwenye mchezo huo baada ya kukosekana kwa takribani mwezi mzima

Huyu Fei Toto ni hazina ya Yanga, Wanayanga wanayo kila sababu ya kujivunia kiungo huyu

Ni yeye aliyefunga bao pekee la kufutia machozi tena kwa juhudi binafsi, akipiga shuti kutoka nje ya 18 lililomshinda mlinda lango wa Simba Aishi Manula

Kwa mchezo jana, Fei Toto ndiye aliyeonyesha utofauti miongoni mwa wachezaji wote wa Yanga, hongera kwake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’