Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Simon Patrick amewaomba radhi mashabiki kwa niaba ya klabu hiyo kufuatia kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa Simba katika mchezo wa nusu fainali kombe la FA
Patrick amesema mashabiki hawakustahili matokeo hayo, hivyo watayafanyia kazi mapungufu yote yaliyojitokeza baada msimu kumalizika
Aidha, Patrick amewataka mashabiki waendelee kuiunga mkono timu ili waweze kumaliza msimu salama
ADVERTISE HERE