Winga Bernard Morrison leo ameendeleza 'drama' baada ya kugoma kukaa benchi alipofanyiwa mabadiliko kwenye mchezo dhidi ya Simba
Morrison hakuwa na mchezo mzuri leo akishindwa kuisaidia Yanga ikipoteza kwa kufungwa mabao 4-1
Baada ya kutolewa nafasi yake kuchukuliwa na Ditram Nchimbi, aliondoka moja kwa moja uwanjani na kuelekea vyumba vya kubadilishia nguo
Ni tukio la utovu wa Nidhamu ambao uongozi wa Yanga haupaswi kulifumbiua macho
ADVERTISE HERE