Mara Paap! Tshishimbi ndani..

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jul 2020
Mara Paap! Tshishimbi ndani..

Nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi leo ameshiriki kikamilifu mazoezi ya mwisho ya mabingwa hao wa kihistoria kuelekea mchezo wa  nusu fainali kombe la FA dhidi ya Simba ambao utapigwa kesho Jumapili Julai 12 kwenye uwanja wa Taifa

Tshishimbi hakujumuishwa kwenye kikosi cha Yanga kilichokuwa kanda ya ziwa kutokana na majeraha

Mcongomani huyo ameshiriki mazoezi hayo ya mwisho akionekana kuwa fiti kuwavaa Simba hapo kesho

Katika moja ya mahojiano yake hivi karibuni, Tshishimbi alisema atawashawishi mabosi ya benchi la ufundi la Yanga wampe nafasi ya kucheza siku ya Jumapili hata kwa kipindi kimoja

Kuna kila dalili atashuka dimbani Jumapili..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’