Tiketi za mchezo wa nusu fainali kombe la FA kati ya Simba dhidi ya Yanga ambao utapigwa kesho Jumapili, zimeanza kuuzwa leo
Tiketi zilizoingizwa sokoni ni 30,000 tu kwani ndio idadi ya mashabiki watakaoruhusiwa kuingia uwanjani kesho
Mashabiki wa Yanga wameaswa kuchangamkia tiketi hizo kwani zinaweza kumalizika mapema

ADVERTISE HERE