Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam wakitokea mkoani Kagera ambao waliweka kambi ya siku mbili baada ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar kujiandaa na mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Simba
Mabingwa hao wa kihistoria wameelekea moja kwa moja kambini kukamilisha maandalizi ya kuivaa Simba Jumapili

ADVERTISE HERE