Jioni ya leo kikosi cha timu ya Wanawake Yanga Princes kitashuka katika uwanja wa Uhuru kumenyana na watani zao Simba Queens
Mchezo huo ambao hautakuwa na kiingilio,utapigwa kuanzia saa tisa na nusu Alasiri
Msimu huu kikosi cha Yanga Princess kimeimarika, kikishika nafasi ya tano baada ya kukusanya alama 23
Walipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Simba Queens kwa kufungwa mabao 3-1, hivyo huu ni mchezo wa kisasi kwao
ADVERTISE HERE