Ukarabati wa uwanja wa Kaunda unaendelea na WanaYanga mnaaswa kuendelea kutoa michango yetu ya hali na hali hasa vifusi vikihitajika sana kwa sasa.
Dhamira ya Yanga ni kuhakikisha uwanja huo unaweza kutumika kwa mazoezi ikiwezekana kwenye mzunguuko wa pili.
Ukarabati kamili ukikamilika uwanja huo utakuwa na uwezo wa uchukua mashabiki 20,000 na ndiyo utakuwa uwanja rasmi wa Yanga.

ADVERTISE HERE