Kakolanya atalipwa avute subira - Mkwassa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Nov 2017
Kakolanya atalipwa avute subira - Mkwassa
Mlinda lango wa Yanga Benno Kakolanya ameeleza kuidai klabu hiyo fedha za usajili pamoja na madai mengine ya mshahara.

Wakala wa mchezaji huyo alitishia kuuchukulia hatua uongozi wa Yanga kama mteja wake hatalipwa madai yake.

Kakolanya aliyetarajiwa kuwa kipa namba moja wa Yanga amejikuta akipoteza namba kwa Mcameroon Youthe Rostand kutokana na majeruhi ya mara kwa mara.

Jana Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwassa alithibitisha madai na mlinda lango huyo na kusisitiza atalipwa.

"Hakuna sababu yoyote ya sisi kumnyima mshahara wake, kwani wangapi wanadai. Inabidi avute tu subira, tutamlipa mambo yakikaa sawa," alisema Mkwassa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’