Banka aiwahi Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jul 2020
Banka aiwahi Simba

Kiungo wa Yanga Mohammed Issa 'Banka' anatua leo Bukoba kuungana na wenzake wanaoendelea na maandalizi ya michezo dhidi ya Kagera Sugar na Simba

Nyota huyo amekosekana kwenye kikosi cha Yanga kwa wiki kadhaa ikielezwa kuwa alikuwa majeruhi

Banka anarejea kikosini wakati mwafaka kuelekea mchezo dhidi ya Simba akitarajiwa kuchukua nafasi ya Mapinduzi Balama ambaye majeraha aliyopata yatamuweka nje kwa muda mrefu

Banka ndiye aliyeifungia Yanga bao la pili kwenye mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya Simba ambao ulimalizika kwa matokeo ya sare ya mabao 2-2

Julai 12 anaweza kuendeleza pale alipoishia...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’