Eymael kuwapumzisha Niyonzima, Molinga mechi dhidi ya Kagera Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jul 2020
Eymael kuwapumzisha Niyonzima, Molinga mechi dhidi ya Kagera Sugar

Kikosi cha Yanga kiliwasili mkoani Kagera mapema jana na jioni kufanya mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Kaitaba

Wachezaji David Molinga na Haruna Niyonzima hawakushiriki mazoezi hayo wakipewa mapumziko na kocha Luc Eymael baada ya kupata majeraha kwenye mchezo uliopita dhidi ya Biashara United

Eymael amesema wachezaji hao hawatakuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza na Kagera Sugar kesho lakini atawatumia kwenye mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumapili ijayo

Aidha winga Bernard Morrison aliungana na timu jana, kesho anatarajiwa kuiongoza safu ya ushambuliaji ya mabingwa hao wa kihistoria

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’