Malaria yamueka nje Tshishimbi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Nov 2017
Malaria yamueka nje Tshishimbi
Kiungo Mcongo Papi Kabamba Tshishimbi alishindwa kurejea mazoezini jana, bado anatumia 'dozi' ya malaria kulingana na daktari wa Yanga, Dk Edward Bavu.

Dk Bavu amesema mchezaji huyo atarejea dimbani wakati wowote na pia anaamini atakuwa tayari kuikabili Mbeya City kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Jumapili, Novemba 19.

Amissi Tambwe ameendelea na mazoezi mepesi. Mkali huyo wa mabao yuko katika program maalumu itakayomuwezesha kurejea dimbani bila kupata madhara.

Ikumbukwe Tambwe amekuwa nje kwa zaidi ya miezi minne akiuguza majeraha ya goti.

Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua kwenye dimba la Uhuru tayari ka mchezo dhidi ya Mbeya City sasa kikiongezewa nguvu na wachezaji waliokuwa kenye timu ya Taifa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’