Niyonzima anaendelea vizuri - Dk Mngazija

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jul 2020
Niyonzima anaendelea vizuri - Dk Mngazija

Daktari wa klabu ya Yanga Dk Shecky Mngazija amesema hali ya kiungo fundi Haruna Niyonzima ambaye alipata maumivu kwenye mchezo dhidi ya Biashara United, anaendelea vizuri

Niyonzima alicheza mchezo huo kwa dakika saba tu baada kupata majeraha kwenye dakika ya tatu na kulazimika kutoka kwenye dakika ya saba baada ya kushindwa kuendelea na mchezo

Dk Mngazija amesema Niyonzima anaendelea na matibabu na upo uwezekano atakuwa sawa kabla ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa Julai 09

Aidha ameeleza kusikitishwa na mchezo wa kibabe ulioonyeshwa na vijana wa Biashara United ambao umesababisha nyota wake kupata majeraha

"Siyo Niyonzima tu, nahodha wetu msaidizi Juma Abdul na Abdulaziz Makame nao wamepata majeraha lakini tunashukuru wote wanaendelea vizuri," alisema

Baada ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar, Yanga itarejea jijini Dar es salaam ambapo Julai 12 inakabiliwa na mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Simba

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’