FT : Biashara United 0-0 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jul 2020
FT : Biashara United 0-0 Yanga

Mchezo wa ligi kuu kati ya Biashara United dhidi ya Yanga ambao umepigwa uwanja wa Karume mkoani Mara, umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Ulikuwa mchezo wa 'kibabe' uliohusisha matumizi ya nguvu

Mpambano huo unaweza kuwa umeipa pigo Yanga kuelekea mchezo dhidi ya Simba baada ya kiungo fundi Haruna Niyonzima kupata majeraha yaliyomfanya ashindwe kuendelea na mchezo mapema tu kwenye dakika 10 za mwanzo

Yanga inaendelea kusalia nafasi ya pili baada ya kufikisha alama 61, hata hivyo Azam Fc huenda ikapanda kwenye nafasi hiyo baadae pale itakapocheza na 'vibonde' Singida United

Mabingwa hao wa kihistoria watasafiri kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo mwingine wa ligi dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa Julai 09

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’