Yanga kamili kuikabili Biashara United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jul 2020
Yanga kamili kuikabili Biashara United

Yanga iko Musoma tangu juzi ambapo jioni ya leo Jumapili itashuka katika uwanja wa Karume kuikabili Biashara United ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Huu ni mchezo muhimu kwa Yanga kuondoka na alama zote tatu ili kuendelea kujiweka vyema katika vita ya kuwania nafasi ya pili

Lakini pia, utakuwa sehemu ya maandalizi ya kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria kuelekea mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa Jumapili ijayo

Kocha  Mkuu wa Yanga Luc Eymael amesema wachezaji wake wanafahamu hautakuwa mchezo mwepesi hasa kutokana na mazingira ya uwanja wa Karume, hata hivyo watapambana kuhakikisha wanaondoka na alama zote tatu

Baada ya mchezo huo, Yanga itaelekea Kagera ambako inakabiliwa na mchezo mwingine mgumu dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa Julai 09 katika uwanja wa Kaitaba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’