Tshishimbi 'anogesha' banda la Yanga Sabasaba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jul 2020
Tshishimbi 'anogesha' banda la Yanga Sabasaba

Nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi mapema leo alikuwepo viwanja vya Sabasaba katika hafla ya uzinduzi wa banda la klabu ya Yanga

Yanga inashiriki maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba

Hafla ya uzinduzi ilifanyika chini ya Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla

Tshishimbi alikuwa kivutia katika uzinduzi huo akipata nafasi ya kupiga picha na mashabiki

Mcongomani huyo amebaki jijini Dar es salaam kujiimarisha kuelekea mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa Julai 12

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’