Kikosi cha Yanga kimeondoka kwa usafiri wa Ndege kuelekea Musoma, mkoani Mara kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili, Julai 05 katika uwanja wa Karume
Mlinda lango Ramadhani Kabwili amejumuishwa katika safari hiyo na pengine atapata nafasi ya kucheza mchezo wake wa kwanza kwenye ligi msimu huu
Yanga imesafiri kwa Ndege mpaka Mwanza ambako itaunganisha kwa usafiri wa basi kwenda Musoma


ADVERTISE HERE