Yanga yakaribisha mashabiki viwanja vya Sabasaba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jul 2020
Yanga yakaribisha mashabiki viwanja vya Sabasaba

Yanga imekuwa klabu ya kwanza hapa Tanzania kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es salaam

Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki wachangamkie fursa hii wakajipatie huduma mbalimbali 'mbashara'

Ukifika banda la Yanga unaweza kujipatia jezi origino brand-chapa GSM, Jarida la Yanga na hata kwa wale wanaohitaji kadi za uanachama, huduma hiyo inapatikana

Lakini pia utapata nafasi ya kuifahamu historia ya klabu yako kwa urefu bila kusahau fursa ya kupiga picha na mataji mbalimbali ambayo Yanga imeyatwaa katika kipindi cha zaidi ya miaka 80 ya maisha yake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’