Mabingwa wa kihistoria Tanzania, Yanga wanakuwa klabu ya kwanza nchini kushiriki maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika jijini Dar es salaam
Uongozi wa klabu ya Yanga umewakaribisha Wananchi kufika viwanja wa Sabasaba katika banda la klabu ya Yanga kujipatia bidhaa na kufahamu mengi yanayoihusu klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE