Mshambuliaji kinara wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga David Molinga, yuko tayari kuikabili Simba kwenye mchezo wa nusu fainali kombe la FA ambao utapigwa uwanja wa Taifa Julai 12
Kama kumbukumbu ziko sawa, huu unaweza kuwa mchezo wake wa kwanza kucheza dhidi ya Simba msimu huu
Mcongomani huyo kwa sasa anaenjoy maisha ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kiwango chake kuimarika siku za hivi karibuni
Molinga anaonekana kuwa mchezaji mwenye furaha, kocha Luc Eymael akimsifu, amekuwa ni mtoto mwenye nidhamu



ADVERTISE HERE