Beki kisiki wa Yanga Lamine Moro amerejea kikosini tayari kwa mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Kagera Sugar
Lamine alifungiwa michezo mitatu na kutakiwa kulipa faini ya Tsh laki tano kufuatia tukio la kumshambulia kiungo wa JKT Tanzania Mwinyi kazimoto
Yuko huru kuanza kuitumikia Yanga baada ya kukosa michezo dhidi ya Azam Fc, Namungo Fc na Ndanda Fc
Moro amerejea wakati mwafaka kuelekea mchezo dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa kesho Jumanne uwanja wa Taifa
ADVERTISE HERE