Yanga vs Kagera Sugar kupigwa saa moja usiku

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jun 2020
Yanga vs Kagera Sugar kupigwa saa moja usiku

Mchezo wa robo wa robo fainali kombe la FA kati ya Yanga dhidi ya Kagera Sugar, umepangwa kupigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Taifa, muda ukiwa saa moja jioni

Ratiba ya michuano hiyo inaonyesha kuwa Namungo Fc na Ndanda ndio zitakazoanza mapema, mchezo wao ukitarajiwa kupigwa saa kumi jioni

Mechi nyingine zitapigwa Jumatano ambapo Sahare All Stars timu pekee iliyopenya robo fainali kutoka ligi daraja la kwanza, itakuwa nyumbani ikiumana na Ndanda Fc wakati Simba itachuana na Azam Fc katika mchezo mwingine wa robo fainali utakaochezwa Jumatano

Mshindi wa mchezo kati ya Namungo dhidi ya Alliance, atacheza na mshindi kati ya Sahare dhidi ya Ndanda kwenye hatua ya nusu fainali

Wakati mshindi kati ya Yanga dhidi ya Kagera Sugar, atacheza nusu fainali na mshindi kati ya Simba dhidi ya Azam

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’