Njooni mtuunge mkono mechi dhidi ya Ndanda - Molinga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jun 2020
Njooni mtuunge mkono mechi dhidi ya Ndanda - Molinga

Mshambuliaji kinara wa mabao kwenye kikosi cha Yanga David Molinga, amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ndanda Fc ambao utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa

Molinga amesema hana tatizo na mashabiki wa timu hiyo, yale yanayotokea uwanjani huwa hayamsumbui

"Mimi huwa napenda kuwa muwazi, sina tatizo na mashabiki kwani naangalia zaidi majukumu yangu. Hatujashinda michezo mitatu iliyopita hivyo sisi kama wachezaji tunahitaji kupambana kuweza kupata ushindi," Molinga aliiambia Yanga TV

"Nawaalika mashabiki waje kwa wingi uwanjani kuja kusapoti timu. Pia wafahamu kila mchezaji ambaye yuko hapa, yuko kwa ajili ya kuipigania Yanga," alisema

Molinga ameifungia Yanga mabao 10 kwenye ligi na amesisitiza kuwa anaweza kumaliza msimu na mabao 15 au zaidi kama atapewa nafasi zaidi ya kucheza katika mechi saba zilizobaki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’