Yanga, Simba kucheza bila ya mashabiki mikoani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jun 2020
Yanga, Simba kucheza bila ya mashabiki mikoani

Klabu ya Mbeya City imezuiwa kucheza na mashabiki katika uwanja wake wa nyumbani wa Sokoine Jijini Mbeya, baada ya kukiuka mwongozo wa Wizara ya Afya juu ya tahadhari dhidi ya corona katika mchezo wao dhidi ya Simba

Kulingana na taarifa iliyotolewa leo na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Serikali imezuia mashabiki kuingia viwanjani katika mechi zote zinazohusu vilabu vya Simba na Yanga nje ya Dar es Salaam

Mashabiki wamekuwa wakijitokeza kwa wingi katika mechi za mikoani zinazohusisha vilabu hivyo vikongwe zaidi nchini

JKT Tanzania inayotumia uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma , ilikuwa klabu ya kwanza kufungiwa baada ya mashabiki kufurika kwenye mchezo dhidi ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
2d ago
READ MORE β†’