Tarehe kama ya leo alizaliwa beki wa Yanga Andrew Vicent Chikupe maarufu kwa jina la Dante
Pamoja na kuwa na changamoto ya kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza msimu huu, Dante bado anaangaliwa kama mmoja wa mabeki bora katika kikosi cha Yanga, haonekani kwa sababu ya ushindani wa namba tu
Mkataba wake na mabingwa hao wa kihistoria unaelekea ukingoni lakini ipo nafasi ya kuongezwa mkataba mwingine
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu ya kuzaliwa
Happy Birthday Dante..!
ADVERTISE HERE