Amissi Tambwe leo ameanza mazoezi mepesi sambamba na kikosi cha Yanga kwenye dimba la Uhuru jijini Dar es salaam.
Majeraha ya goti yamemfanya ashindwe kushuka kabisa dimbani msimu huu hata hivyo kuna matumaini kuwa huenda atarejea dimbani karibuni.
Leo Tambwe alifanya mazoezi mepesi ya kukimbia pamoja na mazoezi ya kunyoosha viungo.
Yanga inaendea na mazoezi kwenye uwanja wa Uhuru kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbeya City.
Papi Tshishimbi na wachezaji waliokuwa kwenye timu ya Taifa wanatarajiwa kuungana na wenzao kesho Jumatano.
Daktari wa Yanga Dk Edward Bavu ameeleza kukosekana mazoezini kwa Tshishimbi leo kumetokana na mchezaji huyo kuumwa malaria.

ADVERTISE HERE